Breaking

Tuangalie sehemu ya sita kiwanja kitakacho tumika kuelekea michuano ya kombe la dunia.

By Azizi -Mtambo 15.

Zikiwa zimebakia siku kadhaa kuelekea michuano ya kombe la dunia itakayo fanyika nchini Urusi.

Shirikisho la soka duniani FIFA limechagua viwanja 12 vitakavo tumika katika michuano hiyo. Leo tunaendelea na uchambuzi wa viwanja tukiwa katika kiwanja kinachoitwa .

Saint Petersburg,  hiki ni moja ya viwanja kitakachotumika kuelekea michuano hiyo itakayoanza Mwezi huu.

Uwanja huo unaingiza  mashabiki wapatao takribani 69,000.uwanja huo ume desginiwa Mkorea Peter I the Great,  Mwaka 1703.

Mji huo wa Saint Petersburg,  unaingiza idadi ya watu wapatao Million 5.2.uwanja huo ulivo desginiwa Kama shape ya meli pia aliye design uwanja huo ashafariki.

Pia mjiji wa Saint Petersburg, ndani yake kuna kisiwa ambacho huo uwanja ndo unapatikana. Kisiwa hicho kinaitwa Krestovsky,  kipo ndani ya bahari ya Baltic.

Uwanja huo unamilikiwa na timu inayoahiriki ligi kuu ya Urusi,  ambayo inaitwa Zenites Petersburg.

Kuelekea michuano ya kombe la dunia zitapigwa mechi nne za makundi,  pia ikiwemo nusu fainali, 16 bora na mshindi wa tatu.

Basi tuangalie mechi za makundi nne.

Morocco

Vs

Iran.

Mchezo huo utapigwa Juni 15.

Urusi

Vs

Egypt.

Mchezo huo utapigwa Juni 19.

Brazil

Vs

Costa Rica.

Mchezo huo utapigwa Juni 22.

Nigeria

Vs

Argentina.

Mchezo huo utapigwa Juni 26.

Pia zitapigwa mechi za 16 bora,  nusu fainali,  na mshindi wa tatu.

No comments:

Powered by Blogger.