Tuangalie sehemu ya tano kiwanja kitakacho tumika kuelekea michuano ya kombe la dunia.
By Azizi -Mtambo 15.
Zikiwa zimebakia siku kadhaa kuelekea michuano ya kombe la dunia itakayo fanyika nchini Urusi.
Shirikisho la soka duniani FIFA, limechaguwa viwanja 12 vitakavo tumika kuelekea michuano hiyo na mechi zitapigwa kwenye uwanja hiyo.
Basi leo tuangalie Kiwanja namba tano kitacha chotumika kinaitwa.
First Olympic stadium, ulijengwa na kutumika katika mashindano ya Mwaka 2014, Sochi a winter Olympics. Kwenye mashindano hayo ulitumika wakati wa kufanya ufunguzi na wakati wa kufunga.
Uwanja huo ni miongoni ya uwanja itakayo tumika katika michuano hi haya paa la uwanja likafunguliwa na zikaongezwa siti zaidi ya 60,000 kuongeza ukubwa wa uwanja huo. Uwanja huo ulikamilika Mwaka 2016, na pia unaingiza Idadi ya watu 47,659 .
Kuelekea michuano ya kombe la dunia zitapigwa mechi 4 za makundi na 16 bora na robo fainali.
Portugal
Vs
Spain.
Mchezo huo utapigwa Juni 15.
Belgium
Vs
Panama.
Mchezo huo utapigwa Juni 18.
Germany
Vs
Sweden.
Mchezo huo utapigwa Juni 23.
.Australia
Vs
Peru.
Mchezo huo utapigwa Juni 26.
Zitapigwa 16 bora na robo fainali.
Pia uwanja huo utatumika katika michuano ya kombe la Mabara katika michezo miwili ya nusu fainali.
First Olympic stadium, upo eneo la mji wa Alder Kusini, mashariki mwa Sochi. Karibu na Pwani ya Georgia.
Kuna usafiri jiji la Alder, linahusishwa uwanja wa ndege wa Sochi, international airport na vituo vikubwa vya treni uwanja huo wa fish upo kilometers 12, kutoka airport na kilometers 11 kutoka station.
Kuna hotel nyingi karibia na uwanja huo, zikiwemo hotel zilizopo kwenye fukwe pamoja na nyumba za wageni.
No comments: