Zikiwa zimebakia siku kadhaa kueleka michuano ya kombe la dunia tufahamu michuano iliyo fanyika nchini Mexico Mwaka 1986.
By Azizi -Mtambo 15
Zikiwa zimebakia siku kadhaa kuelekea michuano ya kombe la dunia itakayo fanyika nchini Urusi.
Basi tuangalie michuano ya Mwaka 1986, iliyo fanyika nchini Mexico, timu 24 zilishiriki michuano hiyo na michezo 52 iliyechezwa.
Katika michuano hiyo jumla yalifungwa mabao 132, basi tuangalie kila hatua yalifungwa magoli mangapi.
hatua ya makundi yalifungwa mabao 71.
hatua ya 16 bora yalifungwa mabao 30.
hatua ya robo fainali yalifungwa mabao 8.
hatua ya nusu fainali yalifungwa mabao 4.
hatua ya fainali yalifungwa mabao 5.
hatua ya mshindi wa tatu yalifungwa mabao 6.
Katika michuano hi bingwa alibuka Argentina, kwa kumfunga Magharibi ya Ujerumani, jumla ya mabao 3-2, mabao ya Argentina, yalifungwa na Maradona, dakika ya 5, Valdano, dakika ya 11, na Brown, dakika ya 21, huku mabao ya Magharibi Ujerumani, yalifungwa na Rummenigger,dakika ya 71, na Voller, dakika ya 81.
Fainali hiyo ilipigwa katika uwanja ambao unaitwa Estadio Azteca mjijini Mexico, na watu waliozuhuria walikuwa 114600, pia Mwamuzi aliyechezsha pambano hilo Ametoka Brazil, Romualdo Arppifilho.
Katika michuano hiyo Argentina, alikutana na England, katika hatua ya mtoano mnamo dakika ya 51 Diego Maradona, anaifungia bao la kuongoza Argentina, kwa bao la mkono na kupewa jina la mkono wa mungu.
Argentina, alikuwa kundi A.
Timu. Mechi. Alama.
Argentina. 3. 5.
Italy . 3. 4.
Bulgaria. 3. 2.
South Korea. 3. 1.
Mgharibu ya Ujerumani, alikuwa kundi E.
Timu. Mechi. Alama.
Den Mark .3. 6.
M.Ujerumani. 3. 3.
Uruguay . 3. 2.
Scotland. 3. 1.
Katika michuano hi Argentina, alifunga mabao 12 , ukitoa na ya kufungwa jumla amefunga mabao 7.
Katika michuano hi waliohuzuria ni watu 46,039.
Basi tuangalie tuzo za michuano hii.
Mchezaji bora wa michuano kutoka Argentina, Diego Maradona.
Mfungaji bora wa michuano kutoka England, Gary lineker.
Mchezaji mwenye umri mdogo kutoka Ubelgiji, Enzo Scifo.
No comments: