Breaking

Tufahamu kiwanja cha tisa kitakachotumika kwenye fainali za kombe la dunia.

By Azizi -Mtambo 15.

Zikiwa zimebakia siku 6 kuelekea fainali za kombe la dunia nchini Urusi.

Tuendelee na uchambuzi wa kiwanja namba tisa kitakachotumika kuelekea fainali hizi.

Nizhny Novgorod, moja ya kiwanja kitakachotumika kwenye fainali hizi kinaingiza idadi ya watu takribani 45,000 kimetengenezwa Mwaka 2015, kimetumia pesa za Kimarekani, billioni 16.756, .

Mahali ya uwanja ulipo kuna mji unaitwa Nizhy Novgorod, unaingiza idadi ya watu wapatao 1.2.uwanja huo upo katikati ya Maziwa ambayo ni Volga,  na Oka.

Pia uwanja huo umetengenezwa kwa pembe nne ambazo zimepewa jina la Strelka,  sehemu ambapo mto wa Oka,  na Volgana, umeongea.

Pia ndani ya uwanja huo kuna sehemu za kufanyia mazoezi na sehemu za kuuza biashara.

Kombe la dunia likimalizika klabu ya Olimpiets itatumia uwanja huo katika michezo yake ya ligi kuu ya Urusi.

Kuelekea fainali za kombe la dunia zitachezwa mechi 6  katika uwanja huo zikiwemo mechi nne za makundi 16 bora na robo fainali.

Mechi za makundi zitakazochezwa kwenye uwanja.

Sweden

Vs

Korea Republic.

Mchezo huo utapigwa Juni 18.

Argentina

Vs

Croatia.

Mchezo huo utapigwa Juni 21.

England

Vs

Panama.

Mchezo huo utapigwa Juni 24.

Switzerland

Vs

Costa Rica.

Mchezo huo utapigwa Juni 27.

1 comment:

Powered by Blogger.